Subscribers
10K-50K50K-100K100K-200K200K-500K500K-1M1M+2M+
-
Views/7days
10K+50K+100K+200K+500K+1M+
-
Super Chat
$5,000+$10,000+$50,000+
-
Live Viewers
1K+3K+5K+10K+20K+30K+
-
Last promotion
Past 7 daysPast 15 daysPast 30 daysPast 180 daysBefore past 30 days
Country
United StatesSouth KoreaJapanTaiwanIndonesiaViet NamIndia
Relevance

Nataly Hay Dance

Welcome to the official Youtube channel of Nataly Hay. Here you can find dances, songs & famous choreographies from the belly dance world. Subscribe (+turn on notifications) and enjoy new video every Wednesday (4PM London time) straight to your phone. .ברוכים הבאים לערוץ היוטיוב הרשמי של נטלי חי .כאן תוכלו למצוא את כל הריקודים, השירים והכוריאוגרפיות האהובים בעולם המחול המזרחי .הירשמו לערוץ (+הפעילו את ההתראות) ותוכלו להנות מוידאו חדש בכל יום רביעי בשעה 18:00 ישירות לטלפון שלכם
  • 265K subscribers,
  • 389 videos
Views/7days2,453
Like/Views4.6%
Last Updated12 days ago

A24MEDIA

#a24media Ni chombo cha habari mtandaoni (online)Kinachochapisha taarifa kwa kuzingatia maadili ya uandishi wa Habari (Journalism ethics) kwa kuzingatia weledi pia #a24media Tumejikita zaidi kwenye kuchapisha Maudhui (content ) zinazohusiana na Michezo,Muziki,Filamu,Mitindo,siasa kwa kufuatana na uhariri (editing) wa taarifa zetu kwa nia ya •Kutoa Taarifa (habari ) zenye ukweli •Kufuata misingi ya habari kwa kuweka uwiano (balance) kwa pande zote kulingana na taarifa. •Kutokuwa na Ubaguzi (bias) wa dini ,ukabila na mambo yanayofanana na hayo ambayo yanaweza kuleta uchochezi (sadition) Muongozo kwa Wafuatiliaji (Subscribers) 1.Maoni ni Haki ya kila mmoja kila mtu anaweza kutoa 2.Mhusika #a24media ina Mamlaka ya Kukuzuia wewe Mfuatiliaji utakaye kiuka masharti na usiweze kuona taarifa zetu wala kuweza kuweka Maoni yako 3.Mfuatiliaji wetu #a24media ina Mamlaka ya kuyafuta maoni yako endapo hayatazingatia maadili mfano Lugha ya Matusi Makali au Lugha ya Kejeli ASANTE
  • 173K subscribers,
  • 1K videos
Like/Views2.3%
Last Updated3 days ago

SoccerData

Je Ungependa SoccerData ikuletee Uchambuzi Bora wa Kiufundi kila Siku? NAAMINI JIBU NI - NDIO☑️ Saidia Ununuzi wa Vifaa vya Uzalishaji vitakavyorahisisha Kazi na kuongeza Ubora wa Uchambuzi. SoccerData inahitaji Vifaa VITATU vya kuanzia Vinavyogharimu Shilingi 4.7 M ambavyo Ni; 1. Video Camera 2. Computer 3. Condenser Microphone. Changia Kiasi chochote Ulichonacho kupitia; TIGOPESA: 0710 679 388 HALOPESA: 0627 532 401 (Jina : Sekwao Mwendi) BANK ACCOUNT. CRDB BANK. SEKWAO MOHAMEDI MWENDI 0152235925700 Lakini pia kwa Mawasiliano zaidi, Wapigie SoccerData kwa Namba hizo. ____________________________
  • 188K subscribers,
  • 791 videos
Views/7days7,214
Like/Views1.4%
Last Updated7 days ago

Crazy Fut™

  • 15K subscribers,
  • 0 videos

Caiser Thadeus

Karibuni sana kwa Channel Yangu, mahali pazuri pa roho, ambapo imani inapatanisha na melodi! 🎶 Jiunge nami, mwimbaji mwenye shauku, mchezaji wa kinanda, mwalimu wa kwaya, na mtunzi, kwenye safari ya muziki inayolingana na roho ya imani yetu Katoliki. Jizame katika sauti takatifu za nyimbo za dini, nyimbo za liturujia, na uundaji wa asili unaoinua moyo na kusisimua roho. Kutoka kwa uzuri wa kipekee wa nyimbo za jadi hadi noti mpya za nyimbo za Katoliki za kisasa, channel hii ni sherehe ya urithi wetu tajiri wa muziki. Tuungane kama jamii ya waamini, kwa nguvu ya muziki kuimarisha uhusiano wetu na Mungu. Iwe wewe ni mwimbaji mwenzangu, mshiriki wa kwaya mtiifu, au tu mtu anayetafuta faraja katika melodi za kimungu, unakaribishwa kuhisi furaha, utauwa, na kuvutiwa na muziki wa Katoliki. Subscribe, like, comment and share to the fellows. Kwa maoni yoyote 0792643636
  • 1.6K subscribers,
  • 0 videos

TzMedia

Karibu kwenye channel yetu, ambapo michezo inakutana na shughuli ndogo za kufurahisha! Zama katika ulimwengu wa furaha tunapojaribu aina mbalimbali za michezo na shughuli ndogo zinazokuletea msisimko na burudani. Iwe wewe ni mchezaji wa nguvu au unatafuta tu dozi ya haraka ya kicheko, channel yetu ina kitu kwa kila mtu. Jiunge nasi katika safari hii ya kugundua, ambapo tunachanganya ujuzi wa michezo na shughuli ndogo zenye furaha kuunda uzoefu wa yaliyomo wa kipekee na wa kufurahisha. Jiandikishe kwa mchanganyiko kamili wa furaha na burudani!
  • 1.6K subscribers,
  • 0 videos

Morogoromedia

morogoromedia . for every one
  • 1.9K subscribers,
  • 0 videos

ALLYKIBA TZ

Ally kiba Fan's Channel SUBSCRIBE 🔔 The best singer in East and middle of Africa Alikiba or kingkiba is the best of vocals in BONGO fleva music and rnb is the king of Tanzanian music Ally Saleh Kiba Anayejulikana kwa jina la Alikiba (aliyezaliwa Novemba 29,1986) ni msanii wa kurekodi kutoka Tanzania , mwandishi wa nyimbo , Mchezaji Dansi , Mtayarishaji , mwigizaji na Mwanamitindo . MTV EMA Msanii Bora wa Afrika 2016. SUBSCRIBE 🔔
  • 1.1K subscribers,
  • 0 videos

Mswano tv

0752 761 214 Subscribe na Karibu Kwenye channel yetu bora kabisa Tanzania, channel hii inakupatia karibu kila kitu unachokihitaji ikiwemo burudani, michezo, afya, technologia, vichekesho habari, historia za watu na vitu ambazo huzijui pamoja na elimu mbalimbali bila kusahau mawazo ya kibiashara, usisahau kusubscribe. Asantee. ENGLISH Welcome to our best channel in Tanzania, this channel provides you with almost everything you need including entertainment, sports, health, technology, comedy, news, history of people and things you don't know. We cover everything including business ideas don't forget to subscribe. Thanks
  • 7.3K subscribers,
  • 0 videos

Official oruong'o

Official oruong'o
  • 1.7K subscribers,
  • 0 videos

Eliud Mwalugelo

Mwimbaji wa nyimbo za injili Mchezaji wa Footballl
  • 4.1K subscribers,
  • 0 videos