Subscribers
10K-50K50K-100K100K-200K200K-500K500K-1M1M+2M+
-
Views/7days
10K+50K+100K+200K+500K+1M+
-
Super Chat
$5,000+$10,000+$50,000+
-
Live Viewers
1K+3K+5K+10K+20K+30K+
-
Last promotion
Past 7 daysPast 15 daysPast 30 daysPast 180 daysBefore past 30 days
Country
United StatesSouth KoreaJapanTaiwanIndonesiaViet NamIndia
Relevance

Ambition Plus

Ambition Plus ni chaneli ya kiswahili inayojihusisha na utoaji elimu ya biashara kwa njia ya mtandao. Chaneli hii ni kwa ajili ya kutoa hamasa, kuangazia fursa na kuanika ukweli wa mambo mengi ambayo ni mageni kwa watu hasa wafanya biashara na watu wanao tamani kuingia kwenye biashara. Ambition + pia ni chaneli iliyojikita katika kupigania vita ya ajira kwa vijana ambao hawana ajira, na ambao wapo kwenye ajira lakini hawaoni mwanga wa mafanikio. Ajira ni changamoto mpya kwa vijana wengi wanaomaliza vyuo na mafunzo mbali mbali, Ambition +itakuonyesha ni namna gani unaweza kuitumia elimu yako kupigania maisha yako na kufikia mafanikio. Pia imejikita pia katika kuwafundisha watu tofauti juu ya namna ya kutumia mtandao (internet) kujiingizia kipato na kuondoka kwenye wimbi la utegemezi. Katika dunia ya leo biashara nyingi zimekuwa zikifanyika mitandaoni lakini changamoto ni watu kukosa uelewa wa namna ya kutumia mitandao kufanya biashara hizo. Ambition plus tupo kwa ajili yako
  • 30K subscribers,
  • 185 videos
Views/7days12
Like/Views0.8%
Last Updateda month ago

RABAONE TV

RABA ONE Hapa kwenye channel ya RABAONE TV utajifunza utengenezaji wa bidhaa tofauti tofauti, Kupata mawazo ya kubuni au kuanzisha Biashara mbali mbali. Ndio maana tuna kuambia #FEEL FREE WITH IT Unaweza kuwasiliana nasi kupitia Whatsapp +255 755 912 838 HAPA UTAJIFUNZA MAMBO MBALI MBALI NA ELIMU TOFAUTI TOFAUTI KWA WEWE MJASILIAMALI UNAYE ITAJI KUMILIKI MRADI AU BIDHAA YAKO BINAFSI HAPA UTAPATA KILA UNACHO KITAKA.
  • 34K subscribers,
  • 119 videos
Views/7days85
Like/Views2.6%
Last Updated4 days ago

Gamechanger TV

Kuwa sehemu ya mabadiliko unayotaka kuyaona kwamba vijana wa kitanzania wanaweza kuleta mapinduzi makubwa katika kila sekta kama wakipata taarifa sahihi zinazoweza kuwaongezea maarifa na kuwapa hamasa kutoka kwa watu waliofanikiwa/wenye ujuzi zaidi kwa kusubscribe Chanel hii 👇👇👇 @gamechangerTV 📺 BE THE GAME CHANGER.💪
  • 24K subscribers,
  • 122 videos
Like/Views1.3%
Last Updated4 years ago

Jayesh Sida

Jay ho serawali mata agr aapko hmari serawali mata ka video achaa lgeto ek like or subscribe likes to jrur kre jayhoooo mata rani kiiii🎋🎋🌷🌷
  • 4.1K subscribers,
  • 0 videos

AMANI YOUTH GOSPEL CHOIR (AYGC)

Amani Youth Gospel Choir Ni kwaya inayopatikana katika kanisa la Fpct kasulu mjini mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu.🇹🇿 Ni kwaya inayopokea mialiko ya huduma mbalimbali kama mikutano na makongamano mbalimbali. Tunapatikana katika mitandao ya kijamii kama INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER, AUDIOMACK & YOUTUBE kote huku tunamtumikia Mungu kupitia Uimbaji karibu kutufatilia. Na hii ndio🇹🇿🇹🇿 Official AYGC FPCT KASULU MJINI YouTube Account🇹🇿🇹🇿 Amani Youth Gospel Choir It is a choir found in Fpct Kasulu church in Kigoma region, Kasulu district. 🇹🇿 It is a choir that receives invitations for various services such as meetings and conferences. We are available on social networks like INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER, AUDIOMACK & YOUTUBE all over the world as we serve God through singing. And this is the 🇹🇿🇹🇿 Official AYGC FPCT KASULU MUJI YouTube Account🇹🇿🇹🇿
  • 1.4K subscribers,
  • 0 videos

GFOX MUSIC OFFICIAL

MUSICIAN FROM EAST AFIRCA (TANZANIA).
  • 1.1K subscribers,
  • 0 videos

BHN VEO TV

VIPAJI NA MAISHA We are dealing with talented people but still yet understand that they can make better life though their talents. NOTIFY YOUR TALENT WITH BHN VEO TV. Kipaji chako ni MTAJI wa maisha yako. Njoo utangaze kipaji chako TUPIGIE +225 657 571 002 Call US +225 657 571 002
  • 1.5K subscribers,
  • 0 videos

Mjasiriamali na Maendeleo (MnaMa)

Mjasiriamali na Maendeleo ni programu mahususi kwa ajili ya kutoa elimu ya Biashara kwa wafanyabiashara na wajasisiramali Nchini Tanzania. Pia tunatoa ushauri wa jinsi ya kukuza biashara na kufanya semina za ujasiriamali , mikopo na masuala ya fedha kwa watu binafsi, mashirika mbalimabali na makampuni.
  • 1.3K subscribers,
  • 0 videos

Bro Babuu

Kutokana na mafunzo na uzoefu wa biashara tunakufunulia siri za kufikia mafanikio, kibiashara,kijamii na kimaisha kwa ujumla. tunaweka video mbili kila wiki. Ni muhimu sana ku-subscribe.
  • 1.8K subscribers,
  • 0 videos

Maajabu Crypto

ROYAL Q BIASHARA KUBWA YA SARAFU ZA KIDIGITALI;CRYPTOCURRENCY ROYAL Q INAKUPA FAIDA KATI YA 1.3-15% YA MTAJI WAKO KWA SIKU NA 20%-50% KWA MWEZI ROYALQ HAIPANGI BEI YA SARAFU, BEI NI MATOKEO YA MWENENDO WA SOKO ROAL Q SIO MCHEZO WA KUBAHATISHA ROYAL Q SIO KAMALI ROYAL Q SIO PONZI SCHEME AU MPANGO WA KUTAJIRIKA HARAKA ROYAL Q NI MPANGO KABAMBE WA KUKUFIKISHA KWENYE MAISHA YA NDOTO ZAKO KWA UHAKIKA KUPITIA SARAFU ZA KIDIGITALI, CRYPTOCURRENCY KUANZA ROYAL Q NI RAHISI NA NAFUU MNO KWA SASA, - WASILIANA NA MII 0787903705
  • 2.4K subscribers,
  • 0 videos

SHREE BAHUCHAR FILMS

Welcome to ! Dutt Ajay vidieography We look forward to working with you. All the type vidieography and cinematography. Vidieography :- Portfolio, Portraits, Fashion, Catalog, Product, Bridal, and many more.... Other :- Wedding highlights. Pre-wedding song & photoshoot. And many more.. All type of album printing Thank you for contacting Dut Ajay vidieography Please let us know how we can help you.mo 8980541015 email shreebahucharfilms@gmail.com
  • 4.8K subscribers,
  • 0 videos

SakapallaTV

Welcome to Sakapala Community Centre channel, we’re all about to promote and provide social and educational activities to the community and residents of Mtoni Kijichi and surrounding neighborhoods. At Sakapala Community Centre we offer the following activities: • Educational activities -Library, computer, tuition, pre-school classes. • Skills Activities - Tailoring; saloon, workshops and seminars e.g. science camp, fine arts classes, and help students apply for college inside and outside Tanzania • Social Activities - Sports; movie night/game day, modern & traditional dance; music & drama; invite a guest to speak at community Centre on issues that affect the community i.e. health awareness, entrepreneurship etc. Please hit the SUBSCRIBE button and we’ll see you in the comments and get an update on the center’s activities!
  • 6.5K subscribers,
  • 0 videos

Miliki Maisha Academy

Tunawasaidia wanawake na wanaume wa kiafrika kuwa na mfumo wa biashara utakaowasaidia kuingiza milion na zaidi kila mwezi, kwa uwekezaji wa mtaji wa Tsh 125,400 tu!
  • 2.2K subscribers,
  • 0 videos

KILIMO PESA

jifunze kuhusu kilimo cha kisasa cha mazao mbalimbali katika uhalisia wa mtaji uzalishaji uvunaji na masoko yake
  • 8K subscribers,
  • 0 videos

SESSAN MEDIA

Jukwaa Huru la Mafunzo na Burudani. SESSAN MEDIA is an online platform which Inspires and provides Lifestyle Training basing on the Tanzania Social and Economic Situation. SESSAN MEDIA encourages Tanzanian women and youth towards production, financial freedom and becoming better people in the planet while improving the quality of their lives.. QUALITY IS OUR PRIORITY
  • 2.7K subscribers,
  • 0 videos

Tan Business Channel

Tan Business Channel inayo milikiwa na AVIC Consultants imeanzishwa kwa ajili ya kutoa elimu inayohusu uanzishaji na uendelezaji wa biashara nchini Tanzania. Msisitizo unawekwa kwenye masuala ya uanzishaji wa biashara na changamoto wanazokutana nazo wajasiriamali wanapotaka kuanzisha biashara mpya. Channel pia inatoa elimu kuhusu changamoto wanazokumbana nazo wafanyabiashara kwenye masuala ya mifumo ya biashara, uongozi, masoko na mambo ya fedha. Kwa habari zaidi tembelea website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
  • 14K subscribers,
  • 0 videos

Dr. Said Said

Tunawasaidia wafanyabiashara watarajiwa kumiliki biashara ya kitaalamu mtandaoni.
  • 13K subscribers,
  • 0 videos

VYAKULA_NA_TIBA

Afya ndio mtaji namba moja katika jamii yetu Dr kenny mtaalamu wa tiba lishe ambaye ni mtaalamu wa afya pamoja na mtaalamu katika maabara za binadamu na mimea pia ni mbobevu katika maswala ya tiba wasiliana nae kupitia 0758 0748 25
  • 16K subscribers,
  • 0 videos

Mimea Tiba

Mimea tiba ni mahususi kwa ajili ya video mbalimbali za kueleimisha namna ya kupambana na magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza. Pia inatoa elimu namna ya kulinda afya na kufanya mambo ambayo yatailinda na kuiboresha afya yako. Afya ni Mtaji Wangu
  • 6.2K subscribers,
  • 0 videos

Ian Metili : Uza Kitajiri Mtandaoni

Habari Tajiri, Karibu kwenye channel hii. Channel hii inadhumuni moja kuu na dhumuni hilo ni KUTAJIRISHA MAISHA YAKO. Binafsi sipendi umaskini na niliamuakuwa sipo tayari kuishi maisha ya kawaida wala sipo tayari kukubaliana na hali niliyokuwa nayo. Hivyo nilianza safari yangu ya kuelekea kwenye maisha ya UTAJIRI NA UKWASI. Bado sijafika lengo hilo ila safari ndo imeshaanza na nimeshaanza kujifunza mengi na kugundua mambo mengin ambayo yanaweza kumsaidia mtu mwingine kutoka hapo ulio kuelekea kwenye yale maisha unayoyaona tu kwenye ndoto au fikra zako. Jiunge nami kwenye safari hii. Hii sio kwaajili ya kila mtu bali ni kwaajili ya wale wachache waliochoshwa na hali ya UMASIKINI, HABA, SHIDA au MAISHA YA KAWAIDA na sasa wanataka kufanya mabadiliko na kuanza kutembea kwenye maisha ya UTAJIRI, UKWASI, RAHA, na MAISHA YA UTOFAUTI. Ni mimi TAJIRI mwenzenu IAN METILI. Hakuna kisichowezekana. #Uzakitajiri
  • 1.4K subscribers,
  • 0 videos