Subscribers
10K-50K50K-100K100K-200K200K-500K500K-1M1M+2M+
-
Views/7days
10K+50K+100K+200K+500K+1M+
-
Super Chat
$5,000+$10,000+$50,000+
-
Live Viewers
1K+3K+5K+10K+20K+30K+
-
Last promotion
Past 7 daysPast 15 daysPast 30 daysPast 180 daysBefore past 30 days
Country
United StatesSouth KoreaJapanTaiwanIndonesiaViet NamIndia
Relevance

VOA Swahili

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. #voaswahili Voice of America - Swahili 330 Independence Ave., SW Washington, D.C. 20237 Email: voaswahili@voanews.com
  • 254K subscribers,
  • 9.5K videos
Views/7days2,762
Like/Views1.5%
Last Updated12 days ago

Jenafa TV

SUBSCRIBE TO Jenafa Media Contacts +255753982555 ( Call or Email us on jenafamediatz@gmail.com (For Any Content issue Contact Us Usitumie Bila Idhini Tutafute) UBUNGO - DAR ES SALAAM CeraMic Media, Facebook/WhatsApp /Insta/twitter Kwa Biashara Na Matangazo (For Bussines And Advertising Issue) Call or Whatsapp +255-753982 555 karibu Tupigie Kwa Ushauri, Pendekezo Na Maoni
  • 603K subscribers,
  • 1.3K videos
Views/7days3,296
Like/Views0.5%
Last Updated7 days ago

BabaJoan

Channel hii imeandaliwa vyema kwa ajili ya kukuburudisha na kukuelimisha wewe MWANAFAMILIA ulijitolea ku subscribe na kufuatilia KAZI zitokanazo na wanachama WA channel hii UKITAKA kufanya biashara nasi tutafute whatsap👇👇👇👇 0768861318
  • 303K subscribers,
  • 145 videos
Views/7days56,848
Like/Views1.5%
Last Updated5 days ago

TANZA LIVE TV

SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YETU KUPATA STORY ZA TOWN,,,STORY ZOTE ZINAZOSUMBUA MITANDAONI KWA HAPA KENYA NA TANZANIA KILA MDA Kama kuna any copyright content please nicheki niondoe mwenyew nimefanya kazi kubwa kuifikisha hii channel hapa ilipo,,comment chini ya video yoyote mi ntaiona tafadhali,,,, kwa mawasiliano (kwa ajili ya biashara tu tafadhali) piga au whatsap 0753205376 instagram @tanzalivetv MARUFUKU KUCHUKUA KAZI ZETU NA KUWEKA KWENYE CHANNEL YAKO/YENU TUTAPIGA STRIKE YEYOTE ATAKAYECHUKUA VIDEO YETU YOYOTE NA KUWEKA KWENYE CHANEL YAKE STRIKE UTAPIGWA HATA KAMA UNA ZERO SUBSCRIBERS AHSANTENI
  • 595K subscribers,
  • 3.9K videos
Views/7days2,794
Like/Views0.9%
Last Updated3 days ago

GeorDavie TV

GeorDavie TV channel inafichua siri na chanzo cha matatizo, mapito na mitihani unayokabiliana nayo katika maisha yako ya kila siku ikiwemo mikosi, balaa, nuksi, nyota yako kuibiwa kupitia biashara, kazi au mahusiano uliyowahi kujihusisha nayo. Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Dr. GeorDavie, anakupa nafasi ya kufunguliwa unapoangalia video hizi! Sambamba na ufungulivu wa maisha yako utapata nafasi ya kumsikiliza akifundisha mafundisho mazuri na muhimu ya kiroho yatakayokufaa sana maishani mwako. Tafadhali anza kwa ku-Subscribe ili usipitwe na baraka hizi kila tunapozileta kwako. Karibu! The World's Renowned Author of: "KEEPING UP WITH GOD's KINGDOM GOVERNMENT STANDARDS!!!"
  • 240K subscribers,
  • 930 videos
Views/7days3,884
Like/Views0%
Last Updated5 days ago

keki plus

Karibu katika channel yangu. Channel hii inaonyesha upambaji wa keki za aina mbalimbali na kuzungumzia mambo yote yanayohusiana keki na jinsi ya kukuza biashara ya keki pia uokaji na mapishi kwa ujumla
  • 303K subscribers,
  • 83 videos
Like/Views0.2%
Last Updated5 months ago

Joel Nanauka

Karibu Katika chaneli ya YouTube ya Joel Nanauka. Tafadhali Subscribe ili uendelee kujifunza masomo mbalimbali ya kuelimisha na kukuhamasisha kufikia malengo yako. See You At The Top
  • 266K subscribers,
  • 1K videos
Views/7days5,169
Like/Views4.5%
Last Updated14 days ago

KIMARO COMEDIAN

TRUST IN GOD AND THINK POSITIVE Karibuni Sana Kwenye Channel Yetu Pendwa Ya KIMARO COMEDIAN, Ili Kufurahia Tamthilia Zetu Kila Siku Usisahau Kugusa Maneno Mekundu chini ya video yako yaliyoandikwa SUBSCRIBE na KENGELE inayojitokeza. Kwa Biashara na Matangazo wasiliana nasi kwa Email : mdumasmart@gmail.com
  • 324K subscribers,
  • 1.3K videos
Views/7days966
Like/Views2.2%
Last Updated3 days ago

Changamkia Fursa

Changamkia fursa ni Chanel ya Uhamasishaji kwa Wafugaji wa Kuku wadogo na wakati. Mimi ni Hamis Rashidi ni Mfugaji wa Kuku wa Kienyeji na Chotara. Ikiwa una nia ya kuanzisha ufaugaji wa kuku, au tayari umeanzisha, haswa Biashara ya Ufugaji wa Kuku nchini Tanzania, basi hii inakuhusu. Nina vidokezo na suluhisho, ambalo ningependa kushiriki nawe, kukusaidia kupata mafanikio katika biashara yako. Lengo langu ni kutafuta njia ambazo Biashara ya ufugaji wa kuku zinaweza kufanikiwa nchini Tanzania, kusaidia kukuza Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla. Kwa hivyo! .. Ikiwa unaishi Tanzania, au wewe ni Mtanzania unayeishi nje ya nchi, Mwafrika au la, unatafuta maarifa juu ya biashara ya ufugaji, ninakualika ungana nami kwenye idhaa hii tutajifunza na kukuza biashara kwa pamoja. SUBSCRIBE, COMMENT, LIKE & SHARE Biashara na Matangazo Email: rashyhd22@gmail.com
  • 147K subscribers,
  • 273 videos
Like/Views1%
Last Updated5 months ago

Ambition Plus

Ambition Plus ni chaneli ya kiswahili inayojihusisha na utoaji elimu ya biashara kwa njia ya mtandao. Chaneli hii ni kwa ajili ya kutoa hamasa, kuangazia fursa na kuanika ukweli wa mambo mengi ambayo ni mageni kwa watu hasa wafanya biashara na watu wanao tamani kuingia kwenye biashara. Ambition + pia ni chaneli iliyojikita katika kupigania vita ya ajira kwa vijana ambao hawana ajira, na ambao wapo kwenye ajira lakini hawaoni mwanga wa mafanikio. Ajira ni changamoto mpya kwa vijana wengi wanaomaliza vyuo na mafunzo mbali mbali, Ambition +itakuonyesha ni namna gani unaweza kuitumia elimu yako kupigania maisha yako na kufikia mafanikio. Pia imejikita pia katika kuwafundisha watu tofauti juu ya namna ya kutumia mtandao (internet) kujiingizia kipato na kuondoka kwenye wimbi la utegemezi. Katika dunia ya leo biashara nyingi zimekuwa zikifanyika mitandaoni lakini changamoto ni watu kukosa uelewa wa namna ya kutumia mitandao kufanya biashara hizo. Ambition plus tupo kwa ajili yako
  • 30K subscribers,
  • 185 videos
Views/7days12
Like/Views0.8%
Last Updateda month ago

Success Path Network

Welcome to Success Path Network, where we believe in the power of knowledge-sharing and growth. Our channel is dedicated to capacity building and self-development, and our slogan, "Each One Teach One," reflects our commitment to helping you unlock your full potential. Join us on this journey of personal and professional growth as we share valuable insights, practical tips, and inspiring stories to empower you along your success path. Subscribe today and let's embark on this transformative journey together! 🌟
  • 305K subscribers,
  • 883 videos
Views/7days746
Like/Views4.5%
Last Updated3 days ago

Sheikh Sharifu Majini

Ndoto.Majini.uchawi.vifungo.nyota.kazi.biashara.mahusiano.cheo.kinga.0754581552/0715581552Tahadhari Na Matapeli
  • 39K subscribers,
  • 313 videos
Views/7days47
Like/Views2.6%
Last Updated14 hours ago

NiaMedia (TZ)

Channel maalumu kwa habari zenye uhakika, matukio, visa, mahojiano. KWA MATANGAZO YA BIASHARA TUWASILIANE KUPITIA E-mail: niamedia@gmail.com For business inquiries: niamedia@gmail.com PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL HII PAMOJA NA KUBOFYA ALAMA YA KENGELE ILA UPATE TAARIFA MARA TU HABARI MPYA INAPOWEKWA HEWANI. UNAWEZA KUSHEA VIDEO ZETU KWENYE GROUPS MBALIMBALI ZA WhatsApp na Facebook. *** COPYRIGHT NOTICE CLAIMS *** If you have any issue with the content used in my channel or you find something that belongs to you, before you claim for it to YouTube, please send a message and i will delete it right away OR negotiate. Thank you for understanding. (niamedia@gmail.com) Tafadhali, Kama tumetumia kazi yako katika Channel yetu tunaomba uwasiliane na sisi kabla ya kuwasiliana na YOUTUBE ili tuweze kuelewana. Ahsante kwa Ushirikiano wako. (niamedia@gmail.com)
  • 448K subscribers,
  • 595 videos
Like/Views0.4%
Last Updated8 months ago

Paul Gatere

This is a channel for anyone willing to learn a new thing in the farming sector. It also includes what we call the light moments in the farm. It's never dull in the farm. We also have a show on one of our local TV stations in Kenya Inooro TV. Agribusiness looks to investigate the innovative ways, in which farmers do their business and bring these innovations to the viewer with an aim of helping farmers make money out of their agribusiness ventures. Get us on facebook: https://www.facebook.com/MUGAMBOTV
  • 43K subscribers,
  • 584 videos
Like/Views1.1%
Last Updated15 days ago

VUNJA MBAVU

KANUNI NA MUONGOZO Vunjambavu TV ni chombo cha burudani ambacho kinazingatia maadili, weledi na kufuata kanuni zilizowekwa na zinazoongoza tasnia ya habari na burudani. Vunjambavu TV imejikita katika kuripoti matukio mbalimbali ya burudani yanayohusu watu mashuhuri. Tunazingatia misingi ya habari kwa kufuata yafuatayo: 1.Kuripoti matukio ya ukweli. 2.Kufuata misingi ya habari 3.Kujiepusha na udini, ukabila na uchochezi Vunjambavu TV inafuata miongozo na kanuni za YouTube pia na ifuatayo ni miongozo kwa wafuatiliaji wetu(subscribers); 1.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na kusikilizwa. 2.Vunjambavu ina uhuru wa kufuta maoni yanayokiuka kanuni na maadili 3.Vunjambavu Tv ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliekiuka kanuni na miongozo ili asiweze kushiriki katika channel yetu. Pia tunasimulia simulizi zilizoandikwa na mwandishi Iddi Makengo .. …........................................... Tunapokea matangazo ya biashara, nyimbo. Wasiliana nasi kwa email:vunjambavu1@gmail.com
  • 287K subscribers,
  • 2.2K videos
Like/Views1.3%
Last Updated9 months ago

DSS TANZANIA

DSS DAILY SUCCESSFUL SOCIETY KARIBU DSS MEDIA KWA MATANAGAZO YA BIASHARA PIGA SIM YA OFISINI +255759070102 MKURUGENZI +255676 07 01 02 DSS TUNASEMA ULIPO TUPO UENDAKO TUTAKUFIA/ DSSSANGA COMPANY LIMITED
  • 64K subscribers,
  • 1.3K videos
Views/7days264
Like/Views0.9%
Last Updated7 days ago

Tanganyika TV

TANGANYIKA TV NI TV AMBAYO INARIPOTI HABARI, UTAMADUNI ,SANAA NA MICHEZO KUPITIA LUGHA YA KISWAHILI .TUPO KIVU YA KUSINI ,OFISII ZETU ZIPO BARAKA FIZI NA UVIRA KATIKA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO. KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI TEMBELEA UKURASA WETU WA FACEBOOK NA INSTAGRAM @TANGANYIKATV KWA MASWALI YA BIASHARA NA MATANGAZO EMAIL : TANGANYIKATV@GMAIL.COM KWA PAMOJA TUPASHE
  • 47K subscribers,
  • 790 videos
Views/7days3,573
Like/Views1.2%
Last Updated3 days ago

BABU HAJI

Tunatoa huduma katika Tiba za asili,dawa za asili,mvuto,dawa za biashara,mapenzi. Tiba Asili Tanzania Mtunzi wa vitabu vya tiba,na mtaalam wa kutabiri Nyota contact us:- 0767393934/0657555550 Follow us on Youtube /Babu Haji Facebook /https://web.facebook.com/babu.haji Instagram /https://www.instagram.com/babuhajitv Website /https://drhajiherbalistclinic.blogspot.com Dar es salaam,Tanzania
  • 24K subscribers,
  • 307 videos
Views/7days519
Like/Views3.4%
Last Updated5 days ago

RABAONE TV

RABA ONE Hapa kwenye channel ya RABAONE TV utajifunza utengenezaji wa bidhaa tofauti tofauti, Kupata mawazo ya kubuni au kuanzisha Biashara mbali mbali. Ndio maana tuna kuambia #FEEL FREE WITH IT Unaweza kuwasiliana nasi kupitia Whatsapp +255 755 912 838 HAPA UTAJIFUNZA MAMBO MBALI MBALI NA ELIMU TOFAUTI TOFAUTI KWA WEWE MJASILIAMALI UNAYE ITAJI KUMILIKI MRADI AU BIDHAA YAKO BINAFSI HAPA UTAPATA KILA UNACHO KITAKA.
  • 34K subscribers,
  • 119 videos
Views/7days85
Like/Views2.6%
Last Updated4 days ago

Mash Tv

Karibuni katika chenel yetu hiii ya MASH TV, ambayo inaelimisha jamii kupitia filamu za maadili,qaswida na darsa mbalimbali pamoja na duwa na hata tiba za kisuna. Tunapatikana bububu kihinani unaweza kuwasiliana nasi kwa no +255717513191 au +255773950250 au kwa email madrasashoptv@gmail,com tunapokea matangazo ya biashara yenye maadili katika dini yetu ya Kiislamu hivo karibuni sana na pia tembelea chanel yetu ingine ya madrasa shop tv online
  • 45K subscribers,
  • 102 videos
Views/7days706
Like/Views1.4%
Last Updated16 days ago