Subscribers
10K-50K50K-100K100K-200K200K-500K500K-1M1M+2M+
-
Views/7days
10K+50K+100K+200K+500K+1M+
-
Super Chat
$5,000+$10,000+$50,000+
-
Live Viewers
1K+3K+5K+10K+20K+30K+
-
Last promotion
Past 7 daysPast 15 daysPast 30 daysPast 180 daysBefore past 30 days
Country
United StatesSouth KoreaJapanTaiwanIndonesiaViet NamIndia
Relevance

Habari za UN

Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa au UNNews Kiswahili inaripoti shughuli za UM kutoka makao yake makuu mjini New York, Marekani na kote duniani. Masuala ya amani na usalama, maendeleo na haki za binadamu ni masuala yanayotuhusu , hivyo habari za utatuzi wa migogoro, uchaguzi, afya, umasikini, elimu na mabadiliko ya hali ya hewa yanachukua nafasi kubwa katika orodha ya mada tunazoripoti. Idhaa ya UM mbali ya kutangaza habari na makala pia inatoa fursa ya bure kwa watu kupata sauti na video mbalimbali kupitia kwenye tovuti ya makataba yake ambayo ni (UN Audio Library website), sauti na video hizo ni kutoka kwenye mikutano inayoendelea na matukio ya kila siku , na pia sauti zilizohiofadhiwa zamani maktaba. Pia sauti na video hizo zinapatikana katika ubora wa hali ya juu na mtu anaweza kurekodi moja kwa moja kutoka kwenye tovuti yetu kwa kutumia faili ya MP3.
  • 46K subscribers,
  • 3K videos
Views/7days312
Like/Views1.6%
Last Updated4 days ago