Mswax Info 유튜브 채널 분석 리포트 - 플레이보드

Mswax Info ni Jukwaa la Maarifa Hili ni jukwaa la kubadilishana taarifa muhimu kama vile: ✅ Nafasi za kazi ✅ Ushauri wa biashara ✅ Elimu na ujuzi mbalimbali Tafadhali fahamu: Hatuunganishi watu kupata ajira moja kwa moja. Kazi yetu ni kusogeza fursa kutoka vyanzo vya kuaminika ili wewe mwenyewe uzifuatilie kwa uelewa na uwazi. Kuhusu Channel Hii: Channel hii inatoa hamasa, elimu pamoja miongozo ya fursa mbalimbali kwa vijana nchini Tanzania. Ilani (Disclaimer): Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu pekee na channel hii haihusiki na chombo chochote cha ulinzi (JWTZ,JKT,Jeshi la Polisi nk) wala taasisi ya serikali. Daima rejea vyanzo rasmi vya mamlaka husika. Usalama: Kama kuna maudhui yanayoleta hatari yoyote ya usalama, tafadhali wasiliana nasi kupitia: 📧 Email: daudaugustine13@gmail.com — Mswax Info Maarifa ni UfunguoMswax Info
즐겨찾기 추가
  • 구독자
  • 71,500명
  • -
  • 조회수
  • 4,174,566
  • -
  • 영상
  • 893개
  • 주간 10개 업뎃

구독자 순위

1,178위
상승 추세

영상 평균 조회수

636
매우 낮음, 구독자 대비 0.9%

조회수 증가 속도

최신 영상

설명

Mswax Info ni Jukwaa la Maarifa 

Hili ni jukwaa la kubadilishana taarifa muhimu kama vile:  
✅ Nafasi za kazi 
✅ Ushauri wa biashara  
✅ Elimu na ujuzi mbalimbali

Tafadhali fahamu:  
Hatuunganishi watu kupata ajira moja kwa moja.  
Kazi yetu ni kusogeza fursa kutoka vyanzo vya kuaminika ili wewe mwenyewe uzifuatilie kwa uelewa na uwazi.

Kuhusu Channel Hii:
Channel hii inatoa hamasa, elimu pamoja miongozo ya fursa mbalimbali kwa vijana nchini Tanzania.

Ilani (Disclaimer):
Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu pekee na channel hii haihusiki na chombo chochote cha ulinzi (JWTZ,JKT,Jeshi la Polisi nk) wala taasisi ya serikali. Daima rejea vyanzo rasmi vya mamlaka husika.

Usalama:
Kama kuna maudhui yanayoleta hatari yoyote ya usalama, tafadhali wasiliana nasi kupitia:
📧 Email: daudaugustine13@gmail.com

— Mswax Info  
Maarifa ni Ufunguo