"habari" 관련채널 1,568개가 검색되었습니다.

전세계 17,436,789개 채널중에서 검색한 결과입니다.
구독자
1만-5만5만-10만10만-20만20만-50만50만-1백만1백만+2백만+
-
7일 조회
1만+5만+10만+20만+50만+1백만+
-
슈퍼챗
US$5,000+US$10,000+US$50,000+
-
라이브 시청자
1천+3천+5천+1만+2만+3만+
-
마지막 광고
최근 7일최근 15일최근 30일최근 180일30일 이전
국가
미국한국일본타이완인도네시아베트남인도
관련도순

Habari Kwanza

Open Platform for young, talented and euthiastic journalists to practice the real experience of Online TV
  • 39.7만명 구독,
  • 4천개 영상
좋아요 비율0.3%
업데이트2달 전

Habari Digital

Habari Digital a registered online TV with registration number TCRA/0CS-OT/02/2019 by Tanzania Communications Regulatory Authority. we report all kinds of news in and outside the country every day. Habari Digital ni runinga ya mtandaoni ambayo imejikita katika kutoa taarifa za kweli za michezo,burudani, siasa, elimu, sayansi na teknolojia na matukio mbalimbali kwa saa 24, siku 7 za wiki Wewe kama mfuatiliaji (subscriber) wetu Karibu sana kwenye channel hii na endelea kufuatilia taarifa zetu kwa kuzingatia sheria na maadili ya nchi yetu, Hepuka lugha za matusi na kashifa, heshimu mawazo ya kila mtu kwani kila mmoja ana haki ya kutoa maoni yake. Habari Digital ina haki ya kufuta maoni ya mtu yoyote yanayokiuka sheria na miongozo ya nchi Habari Digital ina haki ya kumzuia yeyote atakaekiuka sheria na miongozo ya nchi. SUBSCRIBE CHANNEL HII ILI SIKU ZOTE UWE WA KWANZA Contacts Email: habaridigitalmedia@gmail.com Contacts: +255 745 026 000
  • 1.1백만명 구독,
  • 1천개 영상
7일 조회8,378
좋아요 비율0.5%
업데이트한 달 전

HABARI KIGANJANI

''SAMIA SULUHU HASSAN FOR PRESIDENT 2025'' ❤ PLEASE SUBSCRIBE 🙏 ... STAY CONNECTED 💪
  • 26만명 구독,
  • 955개 영상
7일 조회11,048
좋아요 비율0.4%
업데이트20일 전

Bongo Habari

Channel ya kipekee yenye kukuletea Habari, Uchambuzi na Matukio yote yaliotokea siku ya leo Nchini Tanzania.
  • 20.7만명 구독,
  • 421개 영상
좋아요 비율0.3%
업데이트7달 전

Hashim Online Tv

Subscribe Kwa habari mpya za Michezo kila siku ili ujihakikishie kuwa wa kwanza kupata habari za Michezo
  • 24.7만명 구독,
  • 2천개 영상
7일 조회2,111
좋아요 비율0.1%
업데이트14일 전

SHINGO TV

Entertainment& Sports News | Habari Za Mastaa Wa Bongo | na habari zinazo trend /[matukio ya kila siku.] Follow us Instagram/SHINGOTV *SUBCRIBE NOW *
  • 21.3만명 구독,
  • 2천개 영상
7일 조회5,454
좋아요 비율0.5%
업데이트한 달 전

BBC News Swahili

Video za habari na matukio kutoka BBCSwahili.com
  • 59.8만명 구독,
  • 6천개 영상
7일 조회4,453
좋아요 비율1.2%
업데이트6일 전

HABARI 24

HABARI 24 ni runinga ya mtandaoni ambayo imejikita katika kutoa taarifa za kweli kuhusu michezo,burudani, siasa, elimu, sayansi na teknolojia na matukio mbalimbali yaliyojiri na yanayojiri sehemu tofauti tofauti. If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest. For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor.
  • 18.7만명 구독,
  • 3천개 영상
7일 조회5,497
좋아요 비율0.9%
업데이트한 달 전

Gangana Info Channel

Karibu upate habari na matukio ya aina mbalimbali.
  • 36만명 구독,
  • 7천개 영상
7일 조회232
좋아요 비율0.4%
업데이트3일 전

VOA Swahili

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. #voaswahili Voice of America - Swahili 330 Independence Ave., SW Washington, D.C. 20237 Email: voaswahili@voanews.com
  • 25.4만명 구독,
  • 9천개 영상
7일 조회2,762
좋아요 비율1.5%
업데이트12일 전

Dream Online Tv

DREAM ONLINE TV Sports &Entertainment News & politics Hapa Utapata Habari Zote Za Michezo Ndani Na Nje Ya Nchi, Habari Za Mastar, Burudani, Na Mahusiano. Kama Kuna Chochote Huenda Hakijakufurahisha Tafadhali Wasiliana Nasi Tutabadilisha Kwani Tuna kuthamini. We Live We Love
  • 24만명 구독,
  • 7천개 영상
7일 조회778
좋아요 비율0.6%
업데이트24일 전

HOME MEDIA

OFFICIAL PAGE FOR HOME MEDIA HABARI ZOTE UTAZIPATA HAPA MATANGAZO TUPIGIE 0753393036 AU 0625466848 0679393030
  • 40만명 구독,
  • 946개 영상
좋아요 비율0.7%
업데이트4일 전

Dozen Selection

DOZEN SELECTION ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachotoa habari za burudani zinazotokea ndani na nje ya nchi. Tupate pia kupitia ukurasa wetu wa instagram. BDOZEN - Radio & TV Personality working at Clouds FM. Founder & CEO: Born To Shine The Company/ A&R/ Dozen Selection
  • 22.5만명 구독,
  • 4천개 영상
7일 조회240
좋아요 비율1.1%
업데이트3일 전

TOP5 MEDIA

TOP5 MEDIA NI KITUO CHA HABARI KINACHOTOA HABARI ZA MICHEZO,BURUDANI NA MATUKIO MUHIMU YANATOTOKEA DUNIANI NDANI YA SAA 24 KILA SIKU. TUNAKUSHURU WEWE MTAZAMAJI WETU KWAKUICHAGUA TOP5 MEDIA KUWA SEHEMU YAKO YAKUPATA HABARI. TOP5 MEDIA KITUO NAMBA MOJA AFRIKA MASHARIKI KWA KUTOA HABARI ZA MICHEZO WA WAKATI. _ TOP5 MEDIA IS A NEWS CHANNEL THAT PROVIDES SPORTS, ENTERTAINMENT AND IMPORTANT EVENTS THAT ARE HAPPENING IN THE WORLD WITHIN 24 HOURS EVERY DAY. WE ENCOURAGE YOU, OUR VIEWER, TO CHOOSE TOP5 MEDIA AS YOUR PART OF GETTING NEWS. TOP5 MEDIA CHANNEL NUMBER ONE IN EAST AFRICA FOR PROVIDING REAL TIME SPORTS NEWS. SUBSCRIBE TOP5 MEDIA ~~~~~~HOME OF NEWS ~~~~~~
  • 78.1만명 구독,
  • 7천개 영상
7일 조회4,419
좋아요 비율0.3%
업데이트13일 전

Winner Media

(NUMBER ONE SOURCE OF NEWS) WINNER MEDIA ni Chombo Cha Habari Kinachotoa Habari Zote Saa Ishirini na Nne Ndani na Nje Ya Tanzania Kwa Kuzingatia Misingi Ya Uandishi Wa Habari . Pia Unaweza Kutufuatilia Kila Siku Kupitia TWITTER, FACEBOOK, INSTAGRAM. (@WinnerMedia) WINNER MEDIA It Is A News Outlet That Provides All Information At Twenty Four Hours In And Out Of Tanzania Taking Into Account The Basics Of Journalism. Also You Can Follow Us Daily Through TWITTER, FACEBOOK, INSTAGRAM. (@WinnerMedia)
  • 27.1만명 구독,
  • 3천개 영상
7일 조회3,057
좋아요 비율0.3%
업데이트2달 전

Mwendokasi Tv

Mwendokasi TV ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na maadili kwa kiwango cha Juu kutoka katika muongozo wa maadili ya uandishi wa Habari nchini. Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha karola kwa watu mashuhuri kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake. Kktokuingilia faragha ya mtu. Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi. Mwendokasi Tv inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa. Mwendokasi Tv "We Run Together "
  • 1.1백만명 구독,
  • 5천개 영상
7일 조회919
좋아요 비율1%
업데이트5일 전

BONGO TRENDY TV

Asante sana kwa kuichagua Bongo trendy tv nakukaribisha kutazama Habari mbali mbali za burudani na kuelimisha jamii ili kuweza kupata Habari zetu na kuwa mwanafamilia subscribe na kisha utabonyeza alama ya kengere kuweza kupata update zetu bila kusahau ku like na kushare na ku follow katika ukurasa wetu wa instagram Bongo trendy tv .
  • 22.6만명 구독,
  • 1천개 영상
7일 조회5,977
좋아요 비율1%
업데이트3일 전

Taifa Digital

TAIFA DIGITAL FORUM is registered online television dealing with providing all kind of news around East Africa. TAIFA DIGITAL FORUM inakusogozea kwa haraka habari zote za *Siasa *Michezo *Burudani TUNAZINGATIA YAFUATAYO.. 1. Kuripoti habari za ukweli zenye kufuata misingi ya habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote . 2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu. 3. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi. Muongozo kwa Wafuatiliaji Wetu (GUIDELINES FOR OUR SUBSCRIBERS) 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. 2. TAIFA DIGITAL FORUM ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi. 3. TAIFA DIGITAL FORUM ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni. *Elimu *Sayansi, Teknologia na matukio mbalimbali
  • 59.3만명 구독,
  • 2천개 영상
7일 조회1,297
좋아요 비율0.3%
업데이트21일 전

Star TV Habari

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa. Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote! Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA! Star TV Brightens Your Day !
  • 15만명 구독,
  • 9천개 영상
7일 조회3,162
좋아요 비율1.3%
업데이트2달 전

Habari za UN

Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa au UNNews Kiswahili inaripoti shughuli za UM kutoka makao yake makuu mjini New York, Marekani na kote duniani. Masuala ya amani na usalama, maendeleo na haki za binadamu ni masuala yanayotuhusu , hivyo habari za utatuzi wa migogoro, uchaguzi, afya, umasikini, elimu na mabadiliko ya hali ya hewa yanachukua nafasi kubwa katika orodha ya mada tunazoripoti. Idhaa ya UM mbali ya kutangaza habari na makala pia inatoa fursa ya bure kwa watu kupata sauti na video mbalimbali kupitia kwenye tovuti ya makataba yake ambayo ni (UN Audio Library website), sauti na video hizo ni kutoka kwenye mikutano inayoendelea na matukio ya kila siku , na pia sauti zilizohiofadhiwa zamani maktaba. Pia sauti na video hizo zinapatikana katika ubora wa hali ya juu na mtu anaweza kurekodi moja kwa moja kutoka kwenye tovuti yetu kwa kutumia faili ya MP3.
  • 4.6만명 구독,
  • 3천개 영상
7일 조회312
좋아요 비율1.6%
업데이트3일 전