Subscribers
10K-50K50K-100K100K-200K200K-500K500K-1M1M+2M+
-
Views/7days
10K+50K+100K+200K+500K+1M+
-
Super Chat
$5,000+$10,000+$50,000+
-
Live Viewers
1K+3K+5K+10K+20K+30K+
-
Last promotion
Past 7 daysPast 15 daysPast 30 daysPast 180 daysBefore past 30 days
Country
United StatesSouth KoreaJapanTaiwanIndonesiaViet NamIndia
Relevance

Korean Drama Movies Kiswahili

➡️ ISACK MOVIES MBEYA SUPLY ( K-Drama M-Kiswahili ) NAMBA YA MALIPO HIYO HAPO CHINI M-PESSA +255753420881 JINA ISACK MSA JELAS ➡️ KUMBUKA KUTUMA SMS YA M-PESSA HAPA WHATSAPP BAADA YA KUFANYA MALIPO 🤝 @ISACK MOVIES MBEYA SUPLY ( K-Drama M-Kiswahili ) ✍
  • 114K subscribers,
  • 1.2K videos
Views/7days1,778
Like/Views7.3%
Last Updated6 days ago

BabaJoan

Channel hii imeandaliwa vyema kwa ajili ya kukuburudisha na kukuelimisha wewe MWANAFAMILIA ulijitolea ku subscribe na kufuatilia KAZI zitokanazo na wanachama WA channel hii UKITAKA kufanya biashara nasi tutafute whatsap👇👇👇👇 0768861318
  • 301K subscribers,
  • 145 videos
Views/7days56,848
Like/Views1.5%
Last Updated3 days ago

MTANGA COMEDY

TUKO KWAAJILI YA KUKUBURUDISHA,KUKUPA FURAHA NA TABASAMU . TUNAFANYA COMEDY CLIP. SHORT FILMS SEASON/SERIES DOCUMENTARY PROMOTION YA MATANGAZO MADUKA ,BIDHAA NK ONYO KWA YEYOTE ATAKAE NAKILI AU KUIGA HUKU AKIBADILISHA KUONGEZA AU KUPUNGUZA MAUDHUI YANAYOFANANA NA VIDEO ZETU ,TUTA IREPORT VIDEO YAKO HATUTAKUWA /CLAIM/ STRIKE ,NA HATUTAKUWA NA MSAMAHA MPAKA UFUTE VIDEO YAKO. KWA WALE WATAKAO HJTAJI KUFANYA KAZI NA MTANGA COMEDY WASILIANA NA 0688895154 . TUNAWAPENDA,TUTAWABURUDISHA TUTAWAPA TABASAMU
  • 131K subscribers,
  • 293 videos
Like/Views0.9%
Last Updated2 months ago

KitaleMkudeSimba

Musa Yusuph Mahenge a.k.a ( Kitale ), ( Mkude Simba ) ( Bwakila ) Kitale amekuwa katika tasnia ya uigizaji kwa takriban miaka 20. ameanza sanaa Mwaka 2000 katika kundi la Kaole sanaa Group, 2001 akahamia Fukuto Arts Group Chini ya Director Tuesday Kihangala, 2008 akahamia Kwa ALLY LIYAMY , 2011 akahamia Mtanashati Kwa Ostaz juma Namusoma Kwa ajili ya kufanya Mziki wa Bongo fleva , 2014 akazaliwa Mkude Simba , Kuanzia Hapo akaanza Kutengeneza vichekesho vya sauti Kwa ajili ya Efm Radio , Mkude amekuwa akiburudisha jamii za Kitanzania kwa kipindi chote hicho mpaka sasa. Kitale ni mwimbaji na ni mtunzi wa muziki wa Bongo Fleva ,Tamthilia , filamu na vichekesho vya sauti vya radioni vya ( Mkude Simba & Bwakila ) Tamthilia 3 ( 1 )Maneno Ya Kuambiwa ( 2 )Binadamu ( 3 )Kinyamkela Serious Comedy 10 ( 1 )Shobo Dundo ( 2 )Harusi Ya teja ( 3 )Chizi kalogwa tena ( 4 )More Than A Lion ( 5 )Bad Night ( 6 )Kimbiji ( 7 )Stan Bakora ( 8 )Mbwembwe ( 9 )Porojo ( 10)Safara Hasara Hili Dude Noma
  • 417K subscribers,
  • 409 videos
Like/Views2.5%
Last Updated4 months ago

Eddy Edyuse

KARIBU EDDYONETV KWA MATUKIO NA BURUDANI. JAMBO LA KUFANYA NI KU-SUBSCRIBE KWA KUBONYEZA NENO SUBSCRIBE NA KISHA BONYEZA ALAMA YA KENGERE ILI KUHAKIKISHA UNAKUWA MTU WA KWANZA KUTAZAMA VIDEO ZETU ASANTE. PLEASE SUBSCRIBE, SHARE, LIKE, COMMENT AND TURN ON POST NOTIFICATION 🔥🔥📺📺 THANKS FOR YOUR SUBSCRIPTION
  • 63K subscribers,
  • 155 videos
Like/Views2.1%
Last Updated6 months ago

DJ STEAL

➡️ ISACK MOVIES MBEYA SUPLY ( K-Drama M-Kiswahili ) NAMBA YA MALIPO HIYO HAPO CHINI M-PESSA +255753420881 JINA ISACK MSA JELAS ➡️ KUMBUKA KUTUMA SMS YA M-PESSA HAPA WHATSAPP BAADA YA KUFANYA MALIPO 🤝 @ISACK MOVIES MBEYA SUPLY ( K-Drama M-Kiswahili ) ✍
  • 37K subscribers,
  • 153 videos
Like/Views2.9%
Last Updated7 months ago

ISACK MOVIES MBEYA SUPLY

➡️ ISACK MOVIES MBEYA SUPLY ( K-Drama M-Kiswahili ) NAMBA YA MALIPO HIYO HAPO CHINI M-PESSA +255753420881 JINA ISACK MSA JELAS ➡️ KUMBUKA KUTUMA SMS YA M-PESSA HAPA WHATSAPP BAADA YA KUFANYA MALIPO 🤝 @ISACK MOVIES MBEYA SUPLY ( K-Drama M-Kiswahili ) ✍
  • 71K subscribers,
  • 510 videos
Like/Views4.4%
Last Updated7 months ago

Kibox Media

Kibox Media ni Channel Mahususi Kwa kufanya Movie Review | Series Prediction / Ubashiri / Kukisia & Movie Analysis ikijikita katika Kufanya Movie Review ya Matukio Yajayo | Prediction Pamoja na Kukosoa Makosa Katika Filamu/ Series. Dhumuni Kubwa la Kufanya Review & Prediction au Bashiri ni Kuifanya Kazi ya Sanaa Isipoe na Kuwafikia Wengi Zaidi kwa Kuwapa Maswali kadhaa Juu ya kile ambacho kinadhaniwa chaja kutokea katika Mifululizo ya Series. Kibox Media Inamilikiwa na Timoth Fimbo | Journalist | ( Mwandishi wa Habari ) Anae Jikita katika Kufanya Review za Bongo Movies /Series za Tanzania Kwa Lugha ya Kiswahili. Kama Mmiliki Wa Clip Za Video Zilizotumika Zitakuwa Zimevunja Maadili Katika Kutumika Tunaomba Uwasiliane Nasi Kupitia Email www.kiboxmedia@gmail.com / 0625258506 Whatsapp Copyright Disclaimer | Under Section 107 of The Copyright Act 1976, Allowance is Made for Fair use For Purpose Such as Criticism, Commenting, News, Reporting, Teaching, Scholarship, and Research (25).
  • 36K subscribers,
  • 147 videos
Views/7days12,299
Like/Views1.3%
Last Updated5 days ago

Ambition Plus

Ambition Plus ni chaneli ya kiswahili inayojihusisha na utoaji elimu ya biashara kwa njia ya mtandao. Chaneli hii ni kwa ajili ya kutoa hamasa, kuangazia fursa na kuanika ukweli wa mambo mengi ambayo ni mageni kwa watu hasa wafanya biashara na watu wanao tamani kuingia kwenye biashara. Ambition + pia ni chaneli iliyojikita katika kupigania vita ya ajira kwa vijana ambao hawana ajira, na ambao wapo kwenye ajira lakini hawaoni mwanga wa mafanikio. Ajira ni changamoto mpya kwa vijana wengi wanaomaliza vyuo na mafunzo mbali mbali, Ambition +itakuonyesha ni namna gani unaweza kuitumia elimu yako kupigania maisha yako na kufikia mafanikio. Pia imejikita pia katika kuwafundisha watu tofauti juu ya namna ya kutumia mtandao (internet) kujiingizia kipato na kuondoka kwenye wimbi la utegemezi. Katika dunia ya leo biashara nyingi zimekuwa zikifanyika mitandaoni lakini changamoto ni watu kukosa uelewa wa namna ya kutumia mitandao kufanya biashara hizo. Ambition plus tupo kwa ajili yako
  • 30K subscribers,
  • 185 videos
Views/7days12
Like/Views0.8%
Last Updateda month ago

Msasa Media

KANUNI NA MUONGOZO Msasa Media ni Chombo Cha Habari kwa njia ya kidigitali ambapo tumejikita katika kuripoti matukio mbalimbali ya Burudani kama filamu muziki, michezo, elimu na masuala mbalimbali ya jamii kwa ujumla. Dawati la Uhariri Msasa Online linazingatia haya. 1. Kuripoti habari za kweli zilizo haririwa kwa umakini. 2. Kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwahabarisha watazamaji wetu. 3. Kuzingatia maadili ya habari kwa kuhakikisha uwiano na kutoa habari zisizo pendelea upande mmoja. 4.Kujiepusha na utoaji habari zenye udini, ukabila na yoyote yanayoweza kusababisha taharuki. 5. Kufanya kazi kwa nidhamu na weredi. Muongozo kwa watazamaji wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. 2. Msasa Online inaweza kufuta maoni ambayo yanaweza kuchochea uvunjifu wa amani au kusababisha taharuki. 3. Msasa Online inaweza kuzuia mtu asiweze kuona au kuweka maoni kwenye taarifa tunazohabarisha endapo atakiuka taratibu za muongozo huu. 4. Lugha chafu na zisizo na maadili haziruhusiwi.
  • 134K subscribers,
  • 2.8K videos
Views/7days2,684
Like/Views0.4%
Last Updated4 months ago

Kiswahili Rahisi

Channel hii inamwezesha mwanafunzi kumudu na kukuza lugha ya Kiswahili kila siku, aweze kuwasiliana kwa ufasaha na kuongeza msamiati. Vitabu mbalimbali vya hadithi vinachambuliwa kwa namna sahili hivyo kueleweka moja kwa moja. Mbinu mbalimbali za lugha zinatumiwa ili kukuza uelewa na fikra ili kudadisi, kufanya utumbuizi wa vipengele vya mfumo wa lugha ya Kiswahili. Mwanafunzi atafaulu MTIHANI.
  • 26K subscribers,
  • 1.5K videos
Views/7days35
Like/Views9.3%
Last Updated13 days ago

Luhobe Fashion

LUHOBE FASHION, Ni channel ambayo inatoa video mbalimbali za MISHONO YA MAGAUNI YA VITENGE, MAGAUNI YA VITAMBAA, MAGUBERI na MADELA. Pia NGUO za KIUME kama Mishono ya kisasa ya KAUNDA SUTI, MISHONO YA SUTI ZA KISASA Na aina mbalimbali ya nguo za kiume. Pia tunatoa Video za mafunzo ya kusuka mitindo mbalimbali ya nywele na Video za Mafunzo ya kupamba Ukumbi na Kanisani. Tuna wakaribisha wateja wote ambao wanahitaji kufanya matangazo ya biashara zao kwenye channel yetu. Tunafanya matangazo kwa bei nafuu sana. Email: kamiliussboniface@gmail.com
  • 34K subscribers,
  • 529 videos
Views/7days305
Like/Views0.8%
Last Updated8 days ago

Bariki Karoli

karibuni sana kwenye channel yangu naitwa Bariki Karoli natengeneza video zinazohusiana na urembo wa mwili,naongelea kuhusu ngozi,kupungua mwili na kuongezeka. Na vlog ambazo zinahusu maisha yangu ya kila siku,na vitu vingine kibao. unaweza kunipata kwa email: bariki.karoli@gmail.com
  • 97K subscribers,
  • 307 videos
Views/7days449
Like/Views4%
Last Updated2 months ago

Mzuri tv online

MZURI TV ONLINE NI CHANELI INAYORIPOTI NA KUKUPASHA HABARI ZINAZOTOKEA NA KUJIRI HAPA KWETU TANZANIA, NJE YA NCHI NA DUNIANI KWA UJUMLA, PIA TUNAFANYA MAHOJIANO MBALI MBALI NA WATU MAARUFU, WASANII, WANASIASA, WANAMICHEZO, NA WATU WOTE KWA UJUMLA, PIA KWENYE CHANELI YETU UNAWRZA KUPATA HABARI ZA KISIASA, MICHEZO NA BURUDANI KWA SAA 24 SIKU SABA KWA WIKI, TUNAPATIKANA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII KAMA IFUATAVYO INSTERGRAM - 👇👇👇 Mzuri_tv_ WHATSAPP - NAMBA 👇👇👇 PRISENTER ....+255 715 784 537 CONTENT CREATOR.......+255 716 563 705 OFISI ZETU ZINAPATIKANA👇 KARIAKOO, MTAA WA CONGO NA NDOVU, DAR ES SALAAM, TANZANIA MZURI TV BURUDANI KIGANJANI MWAKO TUPIGIE KWA SIMU NAMBA👇 KAMA UNAHITAJI KUHOJIWA NASI AU KUFANYA JAMBO NASI PIA TUNAPOKEA MATANGAZO MBALI MBALI KWA ANAYEHITAJI TUPIGIE Call...................+255 715 784 537 WhatsApp.......+255 716 563 705 Instergram @mzuri_tv_
  • 30K subscribers,
  • 974 videos
Views/7days44
Like/Views6.1%
Last Updated3 days ago

Bright View

Bright View Jifunze mapenzi, utundu, mahaba na elimu ya urembo mitindo ya kimaisha ,afya namengine mengi Kama mgeni jiunge na wengine kwa kusubscribe ASANTE Nawapenda..
  • 44K subscribers,
  • 45 videos
Like/Views0.6%
Last Updated7 days ago

Snashtz

Snashtz ni chaneli ya uchambuzi wa kina na hakiki katika upande wa teknolojia na filamu pamoja na "games". Timu yetu yenye uzoefu ya wapenda teknolojia huzama katika simu mkononi, kompyuta, vifaa mahiri vya nyumbani, na mengineyo, ikitoa ukaguzi wa kina, mafunzo na ulinganisho ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu ununuzi wako wa kiteknolojia. Ukaguzi wetu wa filamu hujikita katika ulimwengu wa sinema, ukijadili kila kitu kutoka kwa wasanii wakubwa wa Hollywood hadi filamu huru. Kujitolea kwetu kuwasilisha maudhui kwa Kiswahili kunaifanya iweze kufikiwa na hadhira pana zaidi ambayo huenda isijue Kiingereza vizuri. Watangazaji wetu wa haiba huhakikisha kuwa video zetu sio za kuelimisha tu bali pia za kuburudisha, na hivyo kuhakikisha utazamaji wa kufurahisha kwa wote. Kwa hivyo, iwe wewe ni shabiki wa teknolojia unayetafuta vifaa vya hivi punde zaidi au mdadisi wa filamu unayetafuta uhakiki wa maarifa, Subscribe kwa Snash Swahili Tech na ujiunge na jumuiya yetu mahiri.
  • 94K subscribers,
  • 477 videos
Views/7days7,334
Like/Views3.4%
Last Updated8 days ago

S500 TV

S500 TV :TRUSTED DIGITAL CREATIVE CONTENT MAWASILIANO NJOO DM INSTAGRAM (s500_tv) TUMEANZA KAZI RASMI MAY 2023 SIRI KUBWA YA SISI KUFANYA VIZURI NA KUITEKA JAMII NI UBORA WA MAUDHUI YETU..HUTOJUTIA KUTAZAMA VIDEO ZETU KUBALI KUWA MWANAFAMILIA MPYA WA S500 TV- The Digital creative content : ✔️TUNAFANYA STORI ZA BURUDANI ✔️TUNAFANYA STORI ZA MICHEZO ✔️STORI ZA MASLAHI YA NCHI "PUBLIC CONTENT" ✔️ UBUNIFU WETU (MAUDHUI YETU) ❌ STORI ZA KUMVUA UTU MSANII AU KUMSHUSHA BRAND (HATUFANYI) AMA KWENDA SAWA UPEPO WA MITANDAO KUHUSU KASHFA YOYOTE YA MSANII AMBAYO BADO HAIJATHIBITIKA. ❌STORI ZA UCHOCHEZI AMA ULENGO HASI WA KUVURUGA AMANI (HATUFANYI) ❌KICHWA CHA HABARI AU COVER YA VIDEO KUWA TOFAUTI NA KILICHOKUWA NDANI (HATUFANYI) : TUNAKUOMBA AMINI KILE TUNACHOKUPA HUTOJUTIA KUTAZAMA KONTENTI ZETU. KILA VIDEO INAYOPANDA KWENYE TV HII INA THAMANI KWAKO. "KARIBU S500 TV (THE DIGITAL CREATIVE CONTENT) "ARDHI YA UBUNIFU NA MAPAMBANO"
  • 53K subscribers,
  • 896 videos
Views/7days15,027
Like/Views1%
Last Updated2 days ago

RABAONE TV

RABA ONE Hapa kwenye channel ya RABAONE TV utajifunza utengenezaji wa bidhaa tofauti tofauti, Kupata mawazo ya kubuni au kuanzisha Biashara mbali mbali. Ndio maana tuna kuambia #FEEL FREE WITH IT Unaweza kuwasiliana nasi kupitia Whatsapp +255 755 912 838 HAPA UTAJIFUNZA MAMBO MBALI MBALI NA ELIMU TOFAUTI TOFAUTI KWA WEWE MJASILIAMALI UNAYE ITAJI KUMILIKI MRADI AU BIDHAA YAKO BINAFSI HAPA UTAPATA KILA UNACHO KITAKA.
  • 34K subscribers,
  • 118 videos
Views/7days85
Like/Views2.6%
Last Updated7 days ago

Maya

Channel hii inakupa elimu ya Afya kwa kutumia njia za asili kabisa utajifunza mambo mengi ikiwemo urembo wa ngozi tiba asili za magonjwa mbalimbali ya ngozi na jinsi yakujitunza ili kuongeza muonekano mzuri kwa wanawake.Pia ni channel inayotoa elimu ya tiba asilia ya matatizo mbalimbali ya kijamii ikiwemo utabibu na unajimu mambo ya nyota na tiba asilia ya matatizo yanayoikuta jamii yetu.Pia ni channel inayotoa elimu ya ushauri wa vyakula bora vya kiafya tiba za asili kwa wanaume na wanawake elimu ya nyota uzito na muonekano mzuri wa mwili wako.Usiache kusubscribe channel hii sasa.Ahsanteni
  • 62K subscribers,
  • 66 videos
Views/7days350
Like/Views3%
Last Updated2 months ago

Man Media

Sehemu Pekee Uatapopata Content Zenye Kukujenga Eidha Kiafya, Kiakili, Kimawazo, Kimahusiano n.k Kwa Ushauri, Maoni Na Mapendekezo naomba niachie comment Asante Sana,Thank You So Much....! +255 713 53 54 75
  • 40K subscribers,
  • 553 videos
Like/Views16.6%
Last Updated9 days ago