Subscribers
10K-50K50K-100K100K-200K200K-500K500K-1M1M+2M+
-
Views/7days
10K+50K+100K+200K+500K+1M+
-
Super Chat
$5,000+$10,000+$50,000+
-
Live Viewers
1K+3K+5K+10K+20K+30K+
-
Last promotion
Past 7 daysPast 15 daysPast 30 daysPast 180 daysBefore past 30 days
Country
United StatesSouth KoreaJapanTaiwanIndonesiaViet NamIndia
Relevance

VUNJA MBAVU

KANUNI NA MUONGOZO Vunjambavu TV ni chombo cha burudani ambacho kinazingatia maadili, weledi na kufuata kanuni zilizowekwa na zinazoongoza tasnia ya habari na burudani. Vunjambavu TV imejikita katika kuripoti matukio mbalimbali ya burudani yanayohusu watu mashuhuri. Tunazingatia misingi ya habari kwa kufuata yafuatayo: 1.Kuripoti matukio ya ukweli. 2.Kufuata misingi ya habari 3.Kujiepusha na udini, ukabila na uchochezi Vunjambavu TV inafuata miongozo na kanuni za YouTube pia na ifuatayo ni miongozo kwa wafuatiliaji wetu(subscribers); 1.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na kusikilizwa. 2.Vunjambavu ina uhuru wa kufuta maoni yanayokiuka kanuni na maadili 3.Vunjambavu Tv ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliekiuka kanuni na miongozo ili asiweze kushiriki katika channel yetu. Pia tunasimulia simulizi zilizoandikwa na mwandishi Iddi Makengo .. …........................................... Tunapokea matangazo ya biashara, nyimbo. Wasiliana nasi kwa email:vunjambavu1@gmail.com
  • 287K subscribers,
  • 2.2K videos
Like/Views1.3%
Last Updated8 months ago

GODIUS RWEYONGEZA

Mimi Godius Rweyongeza, ni mwandishi wa vitabu, mhamasishaji na mjasiriamali. Nimekuwa nikiandika tangu mwaka 2016. Unaweza kusoma makala zangu kupitia tovuti hii http://songambeleblog.co.tz Huku huwa naandika makala mbili kila siku. Tangu zamani sana nilikuwa na ndoto ya kuandika na kuwa mwandishi. Mpaka sasa hivi nimeweza kuandika vitabu zaidi ya kumi. Vitabu vyangu ni pamoja na 1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI 2. JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO 3. NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA 4. MAISHA NI FURSA: ZIBEBE ZIKUBEBE 5. JINSI YA KUWEKA AKIBA NA KUANZA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE Unaweza kuwasiliana naGodius Rweyongeza kupitia whatsap/sms/Simu 0755848391 For booking: songambele.smb@gmail.com
  • 2.2K subscribers,
  • 0 videos

KILELENI

Kileleni ni Chanel ambayo inawahusu watu wote wanaotaka kuujua ukweli kwenye mambo mengi yanayotokea kwenye jamii yetu. Lengo letu kubwa ni kufungua macho ya watu na kuwapa elimu, kwani elimu ni uhuru. Karibu kileleni, kuwa huru hapa ni ukweli mtupu.
  • 3.2K subscribers,
  • 0 videos

HD TV

PATA HABARI ZAKITAIFA HABAR ZAMICHEZO SKENDO ZAWANA SIASA NA WASANII NAWANA SIASA KWAUJUMLA PATA COMEDI MUVI ZAWASANII WAZAMANI
  • 14K subscribers,
  • 0 videos

BMN LABEL

An artist From Gusii Land .. Thanks alot guys for giving me your full support.....Nawapenda Sana ...Sweet music Coming 🔥 🔥 Nawaombea Dua mzidi kunipiga support ili tufuke kileleni na hata zaidi wapendwa 🙏🙏..🎼🎶🎹🎸 More music coming 🎶
  • 3.1K subscribers,
  • 0 videos

Asafu official

Hey guys welcome to our channel, Here we will be post all content about how you can make Music in some production software like Logic pro x, Cubase , pro tools, &studio one And also we will be posting any kind of Gospel music So if you are a Christian Please SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL we hope everything we do will be best for guys because we gon have everything you need to make you strong in your Spiritual life , we will be playing some live guitar I mean live music stay behind our youtube channel don’t forget to click on notification bell 🔔 when you are a subscriber for more Information ------------- We will be Always live in YouTube When We are in church ⛪️ service And for more information you can call us at +1 615 482 2658 +243 991 492 506 +255 753 144 845 +255 756 284 625 God Bless you all
  • 2.7K subscribers,
  • 12 videos
Like/Views34.9%
Last Updated2 months ago

EBONY DIGITAL

Feel the Difference
  • 17K subscribers,
  • 0 videos