About 43 channels for "RAIS MAGUFULI"

Searched among 17,419,711 Youtube Channels in global.
Subscribers
10K-50K50K-100K100K-200K200K-500K500K-1M1M+2M+
-
Views/7days
10K+50K+100K+200K+500K+1M+
-
Super Chat
$5,000+$10,000+$50,000+
-
Live Viewers
1K+3K+5K+10K+20K+30K+
-
Last promotion
Past 7 daysPast 15 daysPast 30 daysPast 180 daysBefore past 30 days
Country
United StatesSouth KoreaJapanTaiwanIndonesiaViet NamIndia
Relevance

KTV TZ ONLINE

KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI KTV TZ ONLINE ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa uelezi mzuri Subscribe sasa ili upate Taarifa na mambo mengi mazuri. Our vision is to offer a wide range of programmes consisting of both international and local News content,Documentaries and live event coverage.
  • 374K subscribers,
  • 4.6K videos
Views/7days19,699
Like/Views0.4%
Last Updated2 months ago

Uhondo TV

KANUNI NA MUONGOZO YA UHONDO TV Uhondo TV Online ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza katika tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti taarifa zote za kijamii ikiwemo habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani n.k. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: i. Kuripoti habari za ukweli wakati wote ii. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa jamii ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu kwa wakati sahihi. iii. Kufuata kanuni na misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote MUONGOZO: Wafuasi wetu (subscribers) i.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ii. Uhondo TV ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu iii. Uhondo TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni. iv. Uhondo TV haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k
  • 555K subscribers,
  • 22K videos
Views/7days15,309
Like/Views0.4%
Last Updated9 months ago

Tiki Tv

Tiki TV ni ONLINE TV inayokuletea HABARI ZOTE pamoja EXCLUSIVE kali kutoka kwa MASTAA bofya SUBSCRIBE ili tuwe familia moja Tiki TV #KIAKILIZAIDI
  • 379K subscribers,
  • 499 videos
Views/7days24,748
Like/Views0.7%
Last Updated9 days ago

Gilly Bonny Tv

Is an online television registered with the Tanzania Communications Regulatory Authority -TCRA for reporting all news, information, social events, politics, economics, sports and development around the world, our registration number is TCRA/OCS-OT/074/2018. In addition Gilly Bonny Tv reserves the right to delete any comments that violate the laws, policies and guidelines of the State or YouTube. Ni runinga ya mtandaoni iliyosajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA kwa ajili ya kuripoti habari zote, taarifa, matukio ya kijamii, siasa, uchumi, michezo na maendeleo duniani kote, namba yetu ya usajili ni TCRA/OCS-OT/074/2018. Aidha Gilly Bonny Tv ina haki ya kufuta maoni ya mtu yoyote yanayokiuka sheria, sera na miongozo ya Nchi na youtube. Contacts Email: gillybonny1991@gmail.com phone: +255655832712 WhatsApp: +255655832712
  • 492K subscribers,
  • 11K videos
Views/7days1,902
Like/Views0.3%
Last Updated5 days ago

Swahili Digital

KANUNI NA MUONGOZO Swahili Digital ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na Maadili yanayoongoza Tasnia ya Habari. Tumejikita katika kuripoti Matukio ya Siasa,Burudani Michezo na masuala ya Kijamii. Tunazingatia Misingi ya Uhariri katika Habari kwa kufuata yafuatayo: 1. Kuripoti habari za ukweli 2. Kusaidia kurekebisha Taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu 3. Kufuata misingi ya Habari kwa kuripoti Habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote 4. Kujiepusha na Udini, ukabila kufungamana na Chama chochote cha Siasa au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake 2. Swahili Digital ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali 3. Swahili Digital ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote 4. Swahili Digital ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni
  • 353K subscribers,
  • 2.8K videos
Views/7days1,744
Like/Views0.6%
Last Updated2 days ago

Gangana Info Channel

Karibu upate habari na matukio ya aina mbalimbali.
  • 360K subscribers,
  • 7.3K videos
Views/7days232
Like/Views0.4%
Last Updateda day ago

JAMBO TV

  • 889K subscribers,
  • 65 videos
Views/7days28,571
Like/Views0.6%
Last Updated7 months ago

BREAKING NEWS TODAY

Breaking News TODAY channel dedicated to sharing the latest news around the world. With the above criteria, if there is any breach of the principles of Community, law on copyright then please comment on the video or send my message, and then i will delete that video. Please send me an email. With sharing, we always respect the source should each video, written source of it. Over here, we have contributed to support the electronic page get backlink. Please support growing channel by the press Subscribe Breaking News Today Channel here: https://www.youtube.com/channel/UComqyWpuEKYHZxZEzFpypeA Videos can use content-based copyright law contains reasonable use Fair Use (https://www.youtube.com/yt/copyright/) Very excited to partner with other electronic newspaper pages. !!💥SUBSCRIBER SQUAD GOALS💥!! 30,000 SUBS: 🙌COMPLETED! 50,000 SUBS: 🙌COMPLETED! 80,000 SUBS 🙌 COMPLETED! 100,000 SUBS: 🙌 COMPLETED! 200,000 SUBS: 🙌 COMPLETED! 300,000 SUBS: 💤 500,000 SUBS: 💤
  • 277K subscribers,
  • 439 videos
Views/7days3,061
Like/Views6%
Last Updated3 months ago

Top Stories Tanzania

Description *** COPYRIGHT NOTICE CLAIMS *** If you have any issue with the content used in my channel or you find something that belongs to you, before you claim for it to You Tube, please send a message and i will delete it right away , I have worked really hard for this channel and i can't start all over again , Thanks for understanding . Tafadhari Kama tumetumia kazi yako katika Channel yetu tunaomba uwasiliane na sisi kabla ya kuwasiliana na Google tafadhari Bonyeza "SUBSCRIBE" kupata habari mbalimbali zinazotokea nje na ndani ya nchi yetu ya Tanzania, michezo, uchumi, vichekesho, burudani, siasa pamoja na habari kemkem.
  • 51K subscribers,
  • 39 videos
Views/7days13
Like/Views0.9%
Last Updateda month ago

Mwanzo TV Plus

Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and Undaunted
  • 151K subscribers,
  • 2.7K videos
Views/7days6,461
Like/Views0.7%
Last Updated11 days ago

Star TV Habari

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa. Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote! Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA! Star TV Brightens Your Day !
  • 150K subscribers,
  • 9.5K videos
Views/7days268
Like/Views1.3%
Last Updated2 months ago

Motra The Future

MOTRA THE FUTURE is known and recognized as the LYRICAL RAP GENIUS of Tanzania. His golden lyrics are the center of attention and reason as to why his creative work attracts a good number of organic fans. Born and raised in Arusha, Tanzania, the songwriter, performer, and recording artist draws and never limits his musical rap influences with a fusion of different elements and sounds for all over the world.
  • 30K subscribers,
  • 118 videos
Like/Views3.9%
Last Updated4 months ago
Like/Views7.6%
Last Updateda month ago

Charles Kombe

Thank you for continuing to stay close to this channel! If you’ve got a thirst for knowledge that never quits, join a community of 100k thousand and grow! We have a good time, so take your shoes off, kick back, and make yourself at home here at the home of untold stories! Please subscribe because untold stories are on the ground! To Support this Channel: Mobile Money/Airtel: +255 782100209 ___________________________________________________________________________ Watch our videos MATUKIO YA KUTISHA: https://rb.gy/zol9ix MAKALA ZA KUSISIMUA: https://rb.gy/h3pkse MAKALA ZA HISTORIA: https://rb.gy/wg2aax For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
  • 145K subscribers,
  • 232 videos
Views/7days30,112
Like/Views0.8%
Last Updateda month ago

HarmoRapa

This is official YouTube channel for Harmorapa. harmorapa25@gmail.com My name is Athumani Omari Maida, my artistic name is Harmorapa. is a native of Mtwara region Masasi district Magumchila village I love art, it is one of my jobs that gives me income and runs my life and helps my parents, relatives, friends and acquaintances. Keep supporting all my work, God will bless you. Thank you!
  • 56K subscribers,
  • 36 videos
Views/7days36,644
Like/Views1.8%
Last Updated11 days ago

Kuku Village

Karibu ndugu mpenzi mtazamaji katika channel yako pendwa ya Kuku Village. Katika channel hii utajifunza mambo mbali yahusuyo ufugaji wa KUKU mbinu bora za ufugaji, uleaji na utunzaji wa vifaranga na kuku wa umri wowote. Pia utajifunza faida, changamoto za ufugaji pamoja na namna mbali mbali ya kukabiliana nazo. Ili kupata haya yote tafadhali usiache kusubscribe channel hii ili uweze kupata video za vipindi mpya Pindi zinapowekwa . Karibu sana.
  • 59K subscribers,
  • 229 videos
Views/7days381
Like/Views1.4%
Last Updated3 days ago

Ahadi TV

Entertain Your Senses THE TOTAL PACKAGE
  • 80K subscribers,
  • 1.3K videos
Views/7days4,837
Like/Views0.3%
Last Updated5 days ago

AVmediaTZ

AV MEDIA Hub is an online media for all of your entertainment news and events coverage! We publish news as they break, Report and Live-Stream! Check out our blog for more articles www.avmediatz.com Enquiries: AVmediaTZ@Gmail.com Dar es Salaam, Tanzania
  • 70K subscribers,
  • 1.1K videos
Like/Views1.1%
Last Updated4 days ago

abdulaziz vlogs

Abdulaziz Vlogs online Radio&Podcast / TV Personality From Tanzania. Kupitia Abdulaziz Vlogs Tunaripoti Habari Mbali mbali Za Siasa ,Burudani & Michezo, Interviews Na Matukio Yote &Breaking News | Fwatilia Fan Page Zetu Za Facebook Na Insatagram Kwa Jina la "Abdulaziz vlogs" Ili Kupata Matukio Mbali Mbali Kiurahisi Zaidi Ahsante!!!!
  • 66K subscribers,
  • 289 videos
Like/Views0.2%
Last Updated2 years ago

NeogTv

NeogTv Inamilikiwa na kampuni ya Enock ltd chini ya Mkurugenzi , Enock G. Chambali, ambaye ni mtaalamu wa ICT na biashara. NeogTv kwa sasa imejikita kutoa taarifa za michezo, Elimu ya ICT, na burudani, pamoja na mahojiano Maalum na watu mbalimbali wakati sahihi. NeogTv ni channel inayofanya kazi kwa weledi na kufuata sheria za nchi na taratibu zote zinazo simamiwa na mamlaka za mawasiliano Tanzania ( TCRA) kupitia sheria ya huduma za habari. Tafadhali subscribe #NeogTv ili uwe sehemu ya familia hii muhimu. #NeogTv #kaziKwaUfanisi #techEra #enockMedia @newfuture
  • 2K subscribers,
  • 0 videos